魔鏡歌詞網
魔鏡歌詞網 > 歐美歌手 > Leteipa the King > Bangi na Supu > Bangi na Supu

Leteipa the King



歌詞
專輯列表

Leteipa the King

Bangi na Supu

#INTRO
Iyeiyeiyeeaaaaah
Ni Vampk, 254
Traveller done

#VERSE
Najua uko busy na mambo zako
Ila pokea simu, Hata dakika mbili tu Angalau
Mwenzako nina chizi natupa mbao
Wewe ndo yangu jibu, Ama wangoja Mazishi uchange thao
Yale uliyotabiri,
Tayari yametimia, kwamba siwezi bila wewe
Nimepigwa na baridi
Ujinga umeniishia, rudi na usichelewe

#HOOK
Mwenzako ninaghoroka
Sili silali nakufikiria
Kutwa ngwai na moghoka iyee
Sikatai mi ni joker
Fisi mlafi ila najutia
Ukirudi ntaokoa

#CHORUS
Nakuahidi, ntajitahidi
(Bangi na supu)
Kama na danganya Kilimanjaro iniangukie
(Bangu na supu)
Na ukaidi, na Ugaidi
(Bangi na supu)
Na kuhanyahanya hizo njaro sio zangu mie

更多更詳盡歌詞 在 ※ Mojim.com 魔鏡歌詞網
Nilitupa yangu jiko, na yangu mwiko
Juu nilinogewa na wali
Sasa najuta kule ziko
Kutwa kucha niko riko
Stove na kijiko
Ndio nasongea ugali
Sipumui mafuriko
Raha yangu ni wewe
Naomba unihurumie
Ukiniacha mambo yangu yataenda kombo
Siucheze kiwewe
Chance ya mwisho nipatiwe
Wali nitaosha mpaka viombo

#HOOK
Mwenzako ninaghoroka
Sili silali nakufikiria
Kutwa ngwai na moghoka iyee
Sikatai mi ni joker
Fisi mlafi ila najutia
Ukirudi ntaokoa

#CHORUS
Nakuahidi, ntajitahidi
(Bangi na supu)
Kama na danganya Kilimanjaro iniangukie
(Bangu na supu)
Na ukaidi, na Ugaidi
(Bangi na supu)
Na kuhanyahanya hizo njaro sio zangu mie