魔镜歌词网
魔镜歌词网 > 欧美歌手 > Leteipa the King > looser > looser

Leteipa the King



歌词
专辑列表

Leteipa the King

looser

ft Muna Party

INTRO:
Ni vampk, 254
Muna Party again, iyeeiyeeah...

VERSE 1 (Leteipa the King)
Chochote, nachofanya, Kinawapa homa ya ndege, Elnino kichwa na tumboni,
nikingara, Najifanya, Nilichapa nimewa bwege, sijui nivae nyong'inyo shingoni,
Nikijitenga wanasema Nina matharao, (Huh)
ati nimetupa mbao (aaaeeh)
nanikibonga ati najipendekeza kwao (Huh huh)
mnataka niishi how??
nawanawika, kanajiringa
hakatafika siwapi maskio, (aeeeeh)
nauhakika hata wakipinga
bado ntafika yangu mafanikio ouuuouuuh...

CHORUS (Leteipa the King)
mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu,
sijali mnachosema, maisha ntayaendesha,
am not a looser eeeeeh
am not a looser ooooooh
am not a looser eeeeeh
am not a looser oooooh

VERSE 2 (Muna Party)
Everything I do they are all afte me,
wanajidai, wao manabii,
更多更详尽歌词 在 ※ Mojim.com 魔镜歌词网
wanataka maisha yangu yajengwe na maneno yao,
lakini hiyo itabidi wamesahau
juu kama ni riziki, Mungu ndo anagawa
so hata wakisnitch, siwezi nikapagawa
maaana wote walopata hawakuzaliwa nazo
walifanya mchakamchaka bidii na mkazo
kila siku kukikucha nimepewa fursa inabidi nijitolee,
kwa bidii natafuta, Niweze kuzinduka hizi shida ziniondokee
niache kuteseka kwa maisha mi toke Hali ngumu ziwe laini,
walionicheka tunapokutana wapige uso chini

CHORUS (Leteipa the King)
mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu,
sijali mnachosema, maisha ntayaendesha,
am not a looser eeeeeh
am not a looser ooooooh
am not a looser eeeeeh
am not a looser oooooh

CHORUS (Leteipa the King)
mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu,
sijali mnachosema, maisha ntayaendesha,
am not a looser eeeeeh
am not a looser ooooooh
am not a looser eeeeeh
am not a looser oooooh