Nipende Mimi Lyrics Leteipa the King ※ Mojim.com
Mojim Lyrics
Mojim Lyrics > Americas singers > Leteipa the King > Nipende Mimi > Nipende Mimi

Leteipa the KingLyrics
Album list

Leteipa the King

Nipende Mimi

Verse 1:
Umeketi, kwa corner, Ukifikiria,
Vile maisha, ya mapenzi, yamekukalia,
Any shoe that, you admire, inawa ndogo kwako dear,
Mpaka sasa, umeamua, peku kutembea,
Umesahau kiatu chako Kipo,
Kimetengezwa tu kwa ajili yako

Hook:
Ukiwa kwenye shiida,
Unajililia,
Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie,
Ntaketi kando yako, Mpaka utulie,
Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie,

Chorus:
Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha kilio,
Yule mwingine wa mwisho akakuuma sikio,
They used you na sasa wanakuita kifagio,
But nipende mimi...
Nipende mimi
Find more lyrics at ※ Mojim.com

Verse 2:
You think that, you are lonely,
Coz no one is close to you,
And even those that, are closer, they never bother to fight for you,
Umeapa kamwe, hutawahi penda,
Juu wanaume wote, ni mafisi, mwishoni watakutenda,
Give me a chance to prove your statement is wrong,
Naapa kwa wote wanaoskiza this song

Hook:
Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha kilio,kilio kiliiiiioo

Hook:
Ukiwa kwenye shiida,
Unajililia,
Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie,
Ntaketi kando yako, Mpaka utulie,
Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie,
Previous Page
Mojim.com
Mojim Lyrics