Dwanzi Lyrics Leteipa the King ※ Mojim.com
Mojim Lyrics
Mojim Lyrics > Americas singers > Leteipa the King > Dwanzi > Dwanzi

Leteipa the KingLyrics
Album list

Leteipa the King

Dwanzi

Verse 1
Unashout na nguvu but siskii kile unasema babe,
Unanitoa roho,
Naunanikaba koo,
Kumbukuka mi sio wazungu wale unacheki kwa sinema babe,
Sometimes huwa naboo
Kwanza nikiwa sina dooh
Nikikosea unaexpect kwangu iwe burudani,
But mi nikikosa inawa scundle mob kwa majirani,
You are so lucky niko humble sipendi visirani
Ningekulamba likofi open your mouth nijaze miti ndani

Hook
Tukikosana unajaza tu matusi kwa status, ndio nicheki nijikalie
Ati heri kudate mbuzi ama homo erectus kuliko fisi linivamie
I feel like running away, nikajipende peke yangu,
But i enjoy all the pain siwezi kuacha mpenzi wangu

Chorus
kabujubuju, wewe kwangu ni kama mihadarati(Despite the effects am addicted to you)
Na sio juju you are the only cockroach in my kabati (You are my prefect what you say i will do)
Majina yote nitakuita ill adore you like my granda (Despite the effects am addicted to you)
Ill protect you like my sister respect you like my mama (You are my prefect what you say i will do)

Find more lyrics at ※ Mojim.com
Verse 2
When you are happy i feel so lucky coz you make it sweet and bulky chumbani,
Utamu wa mayai,
Na flavour warm kama chai
But when you are angry, its so ugly miaka laki nikiwa hungry jangwani
Inawasha ka dhafai,
Na lethal kama rungu ya masai
You treat me worst than a thief heri kamiti ndani
Sikuhizi hug ama kiss wataka risiti kwani,
Siku hizi chat ni madiss kivyumba vya burudani words tamu kama please, ninakumiss zilidissapear kwani

Hook
Tukikosana unajaza tu matusi kwa status, ndio nicheki nijikalie
Ati heri kudate mbuzi ama homo erectus kuliko fisi linivamie
I feel like running away, nikajipende peke yangu,
But i enjoy all the pain siwezi kuacha mpenzi wangu

Chorus
kabujubuju, wewe kwangu ni kama mihadarati(Despite the effects am addicted to you)
Na sio juju you are the only cockroach in my kabati (You are my prefect what you say i will do)
Majina yote nitakuita ill adore you like my granda (Despite the effects am addicted to you)
Ill protect you like my sister respect you like my mama (You are my prefect what you say i will do)
Previous Page
Mojim.com
Mojim Lyrics