Mojim Lyrics
Mojim Lyrics > Americas singers > Leteipa the King > I pray > I pray

Leteipa the KingLyrics
Album list

Leteipa the King

I pray

#INTRO
Mhhhhhh
Ni Vampk 254
Na Annie Njeri weweeeeh

VERSE 1
Kwanza nashukuru,
Kwa baraka na wema wako,
Kutwa nakufuru,
Hunibagui na zangu vako,
Iyeeeh
Nje Kuna kunguru, kunguru,
Wanataka nidhuru, nidhuru,
Ila waninusuru, nusuru,
Nafurahia uhuru,
Ninaishi lifetime ya Cinema
Kula kunywa ni kwa kubambanya,
Nibariki furaha na afya njema
Hivyo vingine nitavisakanya,
Kuahidi sitatenda dhambi tena
Nutakuwa ninakudanganya,
Ila nitajitahidi kutenda mema
Bila dhulma Wala kukwazana,
Ni wengi wangetamani,
Kupata Yako hisani,
Mimi umenipa vyote cha ajabu
Sina hata shukrani,
Nikitazama jirani,
Misikiti na kanisani,
Mimi ninaponda Raha
Find more lyrics at ※ Mojim.com
Sitoki kwa vyumba vya burudani,

#CHORUS
( I pray ) Nisamehe, Nisamehe baba,
( I pray ) Nisafishe, Nisafishe Yesu,
( I pray ) Nikomboe, Nikomboe Baba,
( I pray ) Nisafishe kwa damu Yako Yesu,


Kama mwana mpotevu
Alivyorudi kwa babaye
Nami narudi Leo
tena nataka kusamehewa
Nimekutenda mengi Yesu
Leo natubu, natubu uuuuh
Nimekutenda mengi, Yesu
Leo natubu, natubu,
Bwaaana

#CHORUS
( I pray ) Nisamehe, Nisamehe baba,
( I pray ) Nisafishe Nisafishe Yesu,
( I pray ) Nikomboe, Nikomboe Baba,
( I pray ) Nisafishe kwa damu Yako Yesu,
( I pray ) Nisamehe, Nisamehe baba,
( I pray ) Nisafishe Nisafishe Yesu,
( I pray ) Nikomboe, Nikomboe Baba,
( I pray ) Nisafishe kwa damu Yako Yesu,