Mojim Lyrics
Mojim Lyrics > Americas singers > Leteipa the King > Waridi > Waridi

Leteipa the King



Lyrics
Album list

Leteipa the King

Waridi

INTRO:
(Unanikomesha) Uhhhhhh (Unanikomesha) (Unanikomesha) Ni vampK (Unanikomesha) 254 (Big Daddy)

VERSE 1
Ukidunga kamini Gunia Gauni ama Dera ,Bado we ni mashini.. Sijui nikwanini, Nikikuona nahisi nginyera inakata maini.. Wanashangaa ati Niko Boring na hauendagi kwao Wanasambaza nyori na hatukulagi kwao Bila chapaa hatuna ngori fiti zaidi yao Hata tukiwa na njaa tunala story finger pande yao

HOOK:
Nitunze Kama mshumaa ama koroboi Ndo nisipoe, unipende Mimi... Mhhh Kuna wengi shujaa wenye pesa na Mali dooh Wasikutoe unitende Mimi, ..

CHORUS:
Wasikuvizie unikimbie mpenzi (Waridi) Na huu unyonge wangu si nitanyong'onyea (Waridi) Nivumilie, nikuhudumie, babe (Waridi) Hata ng'ombe za Nyanyangu ntakupea eeeeh (Unanikomesha) Nyumba magari havishindi thamani yako, (Unanikomesha) Ntapeana vyote niwe nawe mababe boo (Unanikomesha) Sukari asali havishindi utamu wako (Unanikomesha) Naeza kula sembe kavu nikikutazama tuu (Unanikomesha) (Unanikomesha)
Find more lyrics at ※ Mojim.com

VERSE 2:
Kuja ghetoni tupike Ukaange nikionja Hadi kwa sufuria kaive, iyeeih Kisha stima tuzime Tukule mziki kwa nguvu mpaka majirani wakujee, iyeeeh Ulivyojaah Nika unakulaga ijumaa Ukinishika moyo unashikwa na kaswende nazubaa Unanifaa, yaani mi ndo Giza we ndo taa Ninavyokupenda nikama nimekuzaa eeeh

HOOK:
Nitunze Kama mshumaa ama koroboi Ndo nisipoe, unipende Mimi... Mhhh Kuna wengi shujaa wenye pesa na Mali dooh Wasikutoe unitende Mimi, ..

CHORUS:
Wasikuvizie unikimbie mpenzi (Waridi) Na huu unyonge wangu si nitanyong'onyea (Waridi) Nivumilie, nikuhudumie, babe (Waridi) Hata ng'ombe za Nyanyangu ntakupea eeeeh (Unanikomesha) Nyumba magari havishindi thamani yako, (Unanikomesha) Ntapeana vyote niwe nawe mababe boo (Unanikomesha) Sukari asali havishindi utamu wako (Unanikomesha) Naeza kula sembe kavu nikikutazama tuu (Unanikomesha)